Feature

Udaku wa Africa

Habari za Kimataifa

Habari za Kitaifa

Mapenzi

Michezo na Burudani

Udaku wa Ulaya

KIDUME CHATUMIA ZAIDI YA MIL 210 KUJIFANANISHA NA MADONA

 
Watu wanawapenda mastaa, wapo wanaowapenda mpaka wanatamani wafanane nao, mara nyingi tumekutana na hizi story za watu ambao wamekuwa wakifanya majaribio ya kujibadilisha muonekano, maumbile yani ili tu afanane na staa wake anayempenda.

Jordan James alitumia dola 150,000 (zaidi ya mil 270/-)  ili kujibadilisha afanane na Kim Kardashian, safari hii ni Adam Guerra ambaye yeye jitihada zake alikuwa akizifanya ili afanane na Madonna.
Pesa aliyotumia ni paundi 75,000/- (sawa na mil. 210/-) na kutokana na ‘ukarabati’ ambao anataka kuendelea kuufanya kwenye mwili wake mpaka zoezi likamilike kiasi cha pesa kitakuwa kimefikia paundi 100,000/-
Adam anasema anavutiwa sana na Madonna ndiyo maana anafanya kila kitu ili afanane naye.
Madonna
Madonna
“Nimewahi kupanda jukwaani nikamuiga Madonna.. nilipata mashabiki wengi, nimekuwa nikivutiwa naye kwa kila kitu, nimefanya maamuzi yangu binafsi kwa kutumia hela zangu ili nifanane naye kutokana na map3nzi yangu kwake, pia nimepanga kufanya ziara za kimataifa ili kuwadhihirishia watu jinsi gani navutiwa naye“-Guerra

AMBER ROSE AMJIBU KANYE WEST BAADA YA KUMKASHIFU KUWA ALIOGA MARA 30 ILI AWE NA KIM K BAADA YA KUACHANA NAE







Kwenye mahojiano na kipindi cha ‘BreakFast Club’ Kanye West alimkejeli mp3nzi wake wa zamani Amber Rose kwa kusema alibidi aoge mara 30 baada ya kuwa naye ili Kim kardashian awe naye.
Kanye West alisema “Kim k angekubali kuwa na mimi kabla ya Amber basi nisinge kuwa na Amber Kabisa, ni ngumu kwa mwanamke kuwa na mwanaume aliyewahi kuwa na mahusiano na Amber, nilibidi nioge mara 30 ili Kim K anikubali”.
Amber amejibu kupitia twitter yake nakusema …




HUYU NDO MP3NZ MPYA WA RIHANNA


Baada ya Rihanna na Leonardo DiCaprio kutoa ya moyoni mapema mwezi huu kuhusu ukaribu wao na m@haba yaliyopo baina yao, taarifa mpya zinasema kuwa Staa huyo mahusiona na mcheza filamu Richie Akiva.


Rihanna pamoja na Akvia, walikutana kwa mara ya kwanza ndani ya St. Barth’s over iliyopo ikiwa ni siku ya mwaka mpya ndipo toka hapo wawili hao wakaanzisha urafiki hadi kufikia hatua ya kuwa wap3nzi.


Akiva ambaye ni mmliki wa night club kubwa ndani ya jiji la New York na pia ni rafiki mkubwa wa Leonardo anayesemekana kuwa ni mp3nzi wa Riri bila ya kumsahau Rapper Jay Z

Kila la Kheri kwako Riri utulie sasa

T.I AMEWEKEA NGUMU ALIYEKUWA MP3NZI WA IGGY AZALEA

 
RAPA T.I. anayepewa hishima ya kumgundua msanii Iggy Azalea amesema mp3nzi wa zamani wa Iggy ‘Jefe Wine’ hana haki ya kupata pesa yeyote kutoka kwa Iggy na muziki wake.T.I. amesema ataacha tatizo la Iggy Azalea lishughulikiwe na wanasheria wake ila haoni sababu ya kijana huyo kupewa pesa za Iggy au kupokea malipo yeyote.
Siku chache nyuma TMZ iliripoti kuwa mp3nzi wa zamani wa Iggy Azalea anasema walifunga ndoa mwaka 2008 na anashahidi ambaye ni daktari walioenda kumuona pamoja walivyokuwa mke na mume. Jefe anataka nusu ya pesa za Iggy Azalea.
Mwezi wa kumi mwaka jana Jefe alitaka talaka kutoka kwa Iggy na kusema waliishi kama mume na mke huko Texas toka September 2008.

OMMY DIMPOZ AFANYIWA KITU MBAYA NCHINI MAREKANI, AISHIA AIRPORT NA KURUDISHWA BONGO FASTAA.


 
Safari ya Ommy Dimpoz kuelekea Vegas, Marekani kwa ajili ya kupiga show imeishia airport ya marekani, baada y akuzuiliwa kuingia Marekani na kurudishwa na ndege inayofata.Habari zilizotufikia ni kuwa Dimpoz amerudishwa na kukataliwa kuingia ndani ya Marekani kwa kushindwa kufata msharti ya visa, ambapo visa aliyosafiria ilikuwa sio visa inayomruhusu kufanya show, na hivyo kumtilia shaka.

Baada ya kuongea na meneja wake Mubenga amesema, yeye mwenyewe hajui kinachoendelea na alijaribu kumtafuta bila mafanikio na sio kawaida ya Ommy kutokumjulisha kama amefika katika safari zake.
" tangia tulivyoachana ile Ijumaa nilivyompeleka airport, hatujawasiliana mpaka leo asubuhi ndio amenitumia meseji, kwasababu mi mwenyewe nilikuwa namtafuta simpati, kwahiyo na mi mwenyewe nilikuwa na wasiwasi sababu sio kawaida yake, siku zote waga akisafiri anapofika tu lazima aniambie kwamba amefika salama sasa safari hii nimeona kimya......
Ila leo asubuhi kwenye majira ya saa tatu amenicheki kuwa yupo njiani anarudi, anaingia leo usiku kwahiyo mpaka kesho mtakuwa na majibu, hajanieleza kwanini, aaaah mi nnachojua yeye anavisa ya marekani ya mwaka mmoja ya kufanya kazi" amesema Mubenga.

MARIAH CAREY AONESHA KUFURU KWA KUTUMIA MILIONI 41 ZA KI BONGO KUWA BURUDISHA MBWA.




Utafanya nini ukipewa kiasi cha Milioni 41 za kitanzania muda huu? Bila shaka utapanga mengi na wazo kubwa likiwa kuuaga umasikini kwa muda kama hukuwahi kuzishika.
Lakini Mariah Carey ametumia kiasi hiki cha fedha kuwaburudisha mbwa wake kwa kuwapangishia chumba katika hotel ya kifahari, Bristol.
Kwa mujibu wa Daily Mail, Mariah amelipia kiasi cha zaidi ya $25,000 (zaidi ya Milioni 41) ili mbwa wake hao wapewe huduma daraja la kwanza katika hotel hiyo ya kifahari.


Mbwa hao wamepewa chumba chao pekee, wanahudumiwa chakula kizuri kinachopikwa na mpishi wao maalum katika hotel hiyo, watapelekwa kuogelea na kutembezwa katika maeneo mazuri

KIM KARDASHIAN HUJIKOJOLEA NDAN YA NGUO ZAKE


Mke wa msanii Kanye West nchini Marekani mwana mitindo Kim Kardashian West amekiri kwamba licha ya kuvaa nguo zinazowavutia wengi ulimwenguni yeye hujikojolea katika suruali zake za ndani zinazozuia mikojo.
''Mimi hujikojolea kila mara,ni janga kwa kweli'',.huwa hazina mwanya wa kutosha kuniwezesha kukojoa alisema mwanamke huyo maarufu wakati wa mahojiano na jarida la L0ve ambapo baadaye alipigwa picha akiwa u#ch#i.
Hatahivyo dadaake Kardashian, Kourtney naye alijotokeza na kusema si Kim pekee anayejikojolea hata yeye pia.


Kim: ''Kourtney alikuwa amezidisha tabia hiyo''Ninakumbuka tulikuwa katika hoteli ya Delano mjini Miami -nadhani hawataturuhusu tena kwenda katika hoteli hiyo.

Je,ushawahi kujikojolea katika suruali yako ya ndani?.kwa maoni yako basi ingia katika mtandao wetu wa facebook
Blogger Tips and TricksLatest Tips And TricksBlogger Tricks

Majanga